Video Mpya : RAIS WA WASANII 'NYANDA MALIGANYA' - UTEUZI
Sunday, April 10, 2022
Msanii maarufu wa Nyimbo za asili Nyanda Maliganya 'Rais wa Wasanii' Shikomba Bhulolo ameachia wimbo mpya unaitwa Uteuzi..Kupitia wimbo amefanya uteuzi wa wasanii... Makamu wake wa Rais ni Kisima, Waziri Mkuu Ngelela, Ntemi Omabala Waziri wa wanawake...Tazama Video hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin