Picha : MREMA NA MKEWE WAANZA RASMI KUSHEREHEKEA HONEYMOON YAO...WATUA MBUGANI

Mwenyekiti wa chama cha TLP Agustino Mrema na Mkewe Doreen Wameanza rasmi safari ya kutalii katika mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kusherekea fungate lake (Honeymoon).

Mrema alitangaza kwamba atakua na ziara hiyo na kuwaomba watanzania kuungana naye katika tukio hilo akisema ni sehemu ya kusherekea ndoa yake mpya pamoja na kutangaza mbuga za wanyama na vivutio vilivyopo.

Mrema ameanza kuzuru mbuga ya Tarangire na leo atakua hifadhi ya Manyara na baadae ataelekea hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.

Picha na Wasafi


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post