Video Mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - NZUKI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Saturday, April 23, 2022

Video Mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - NZUKI

Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Kisima ' Nyanda Majabala' kutoka Bariadi Mkoa wa Simiyu anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Nzuki 'Nyuki'...Nzuki ni miongoni mwa nyimbo kadhaa mpya alizoachia...Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..Tazama Hapa chini

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

No comments:

Post a Comment

Pages