MKUU WA WILAYA YA KAHAMA AFANYA ZIARA BARRICK BULYANHULU NA KUSHIRIKI UHAMASISHAJI WA CHANJO DHIDI YA UVIKO-19


Mkuu wa Wilaya ya Kahama Festo Kiswaga (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Meneja wa mgodi wa Bulyanhulu ,Cheick Sangare (Kushoto) wakati alipotembelea mgodi na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.Wengine pichani ni Maofisa Waandamizi wa kampuni hiyo. Ameipongeza zitihada zinazofanywa na kampuni katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika kufanikisha zoezi hilo.
Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick wa Bulyanhulu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.
Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu akiuliza swali wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki kuhamasisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi
Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu akiuliza swali wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki kuhamasisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.
Maofisa wa Barrick na Serikali wakibadilishana mawazo wakati wa ziara hiyo

**
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Festo Kiswaga, amefanya ziara ya kikazi katika Mgodi wa Barrick Bulyanhulu na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.

Ameipongeza Barrick kwa jitihada inazofanya kuunga mkono jitihada za Serikali kuhamasisha na kufanikisha zoezi linaloendelea la chanjo ya UVIKO-19.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments