MWANAMKE AKWAMA KWENYE MASHINE YA KUFULIA NGUOMwanamke akiwa ndani ya mashine ya kufulia
**

Video imesambaa mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja akiwa amekwama ndani ya mashine ya kufulia nguo, bila kujulikana aliingia vipi kwenye mashine hivyo.

Katika video hiyo wameonekana maafisa wa polisi wakihangaika kutafuta njia nzuri ya kuweza kumtoa, mwanzo wa video hiyo umeonekana mgongo pekee wa mwanamke huyo, huku viungo vingine kama kichwa, miguu, mikono na tumbo vikiwa ndani ya mashine.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments