MREMBO KUTOKA AFRIKA ASHIKA NAFASI SHINDANO LA MISS WORLD


Kushoto ni Karolina Bielawska aliyeshinda Miss World na Olivia Yace aliyeshinda nafasi ya 3.

***
Miss World namba 3 anatokea barani Afrika kutoka nchi ya Ivory Coast, anaitwa Olivia Yace baada ya kushinda nafasi hiyo ya 3 katika shindano la Miss World 2021 lililofanyika nchini Puerto Rico siku ya Jumatano wiki hii.

Taji la Miss World lilikwenda kwa Karolina Biewleska kutokea nchini Poland na nafasi ya pili alishinda Shree Saini kutokea nchini Marekani.

Shindano hilo lilitakiwa kufanyika Disemba mwaka jana kabla ya kusogeza mwaka huu kutokana na baadhi ya washiriki kupata maambukizi ya UVIKO-19.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments