Tazama Picha : MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA JIJINI ARUSHA

Mwanamke akiendesha mtambo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha

Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Leo Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani. Nchini Tanzania maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa yanafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha yakiongozwa na Kauli Mbiu ‘Kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu, Tujitokeze kuhesabiwa’ ambapo Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.

Maadhimisho haya ya siku ya wanawake yamekwenda sanjari na Maonesho ya shughuli mbalimbali za wadau pamoja na maandamano ya makundi mbalimbali ya wanawake yamehudhuriwa na wadau mbalimbali ukiwemo Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Tukio jingine ni  uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).

Tazama picha za matukio ya Siku ya Wanawake Duniani  jijini Arusha leo Jumanne Machi 8,2022. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akiwa kwenye banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mongella ameipongeza TGNP kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta usawa wa kijinsia nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kulia) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kushoto) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akielekea Jukwaa kuu kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanawake kutoka makundi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha 
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella  akipokea maandamano ya wanawake kutoka makundi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella  na viongozi mbalimbali wakipokea maandamano ya wanawake kutoka makundi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Mwanamke akiendesha mtambo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Mwanamke akiendesha mtambo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Wanawake wafanyakazi kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
Maandamano yakiendelea
Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akifuatilia matukio wakati maandamano ya wanawake yakiendelea





Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akizindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Afisa Tehama Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu,Emiliana Clavery Nyarufunjo (kushoto) akielezea kuhusu Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad). Kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi amesema Kanzidata ya Wanawake na Uongozi Tanzania akionesha anwani/Url  ya https://twl.jamii.go.tzya kuingia kwenye mfumo wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Gemma Akilimali akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden (Sida) na Norway (Norad).
Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Gemma Akilimali akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Mkurugenzi wa Jinsia, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mwajuma Magwiza akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Mkurugenzi wa Jinsia, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mwajuma Magwiza akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akizindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Wadau wakipiga makofi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati)  kuzindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akizungumza baada ya kuzindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania iliyoanzishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili  wa Wadau wa Maendeleo kutoka Sweden  (Sida) na Norway (Norad).
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akipiga picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)  baada ya kuzindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akipiga picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu baada ya kuzindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akipiga picha ya pamoja na wadau na wafanyakazi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)  baada ya kuzindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akipiga picha ya kumbukumbu na Viongozi wa TGNP baada ya kuzindua Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi Tanzania. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi, wa kwanza kulia ni Mwanachama wa TGNP, Jovitha Mlay akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Gemma Akilimali.
Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akionesha maandishi yanayosomeka Uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi
Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akijadili jambo na Mwanachama wa TGNP Jovitha Mlay (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Gemma Akilimali (katikati) baada ya Uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi. 
Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akifurahia jambo na Mwanachama wa TGNP Jovitha Mlay (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Gemma Akilimali (katikati) baada ya Uzinduzi wa Kanzidata ya Taifa ya Wanawake na Uongozi wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani leo Machi 8,2022 jijini Arusha.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Soma pia : 

KANZIDATA YA TAIFA YA WANAWAKE NA UONGOZI TANZANIA YAZINDULIWA


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments