Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya GSM, Gharib Said Mohamed (GSM) ameamua kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti na Ujumbe wa Kamati ya Ushindi ya Timu ya Taifa Stars na kuwatakia Watanzania wote kila la kheri.
Haya yametangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari jioni hii ambapo pia kumetangazwa Kampuni ya GSM kujitoa kwenye sehemu ya Wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania.
Social Plugin