MSANII MAARUFU MZEE KAMBAULAYA AFARIKI DUNIA
Mmoja wa Wasanii maarufu ambaye pia ni Mwanahabari mkongwe, Barnabas Maro maarufu kama Mzee Kambaulaya au Baba Bishanga amefariki dunia.

Mzee Kambaulaya amefariki Januari 4, 2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments