************************
NA EMMANUEL MBATILO
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho mara baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-2 dhidi ya timu ya Red Arrows Fc katika mechi zote mbili licha ya mchezo wa leo kuchapwa mabao mawili kwa sufuri.
Mechi ya kwanza Simba akiwa nyumbani aliweza kupata mabao 3-0 kwenye mchezo ambao ulikuwa wa aina yake, hivyo kutokana na leo kuchapwa mabao 2-1 wanakuwa na jumla ya mabao 4-2 hivyo wanakwenda hatua ya makundi moja kwa moja.
Red Arrows Fc katika mchezo huu walicheza kandanda safi lililovutia lakini haikuwafanya kuwazuia Simba Sc kufuzu hatua ya makundi.
Tahariri ni muhimu sana, SIMBA haikufungwa mbili kwa sufuri(sifuri) bali ni 2-1.
ReplyDeletePost a Comment