SIMBA SC YAFUZU HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO LICHA YA KUCHAPWA 2-1 NA RED ARROWS FC


************************

NA EMMANUEL MBATILO


Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho mara baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-2 dhidi ya timu ya Red Arrows Fc katika mechi zote mbili licha ya mchezo wa leo kuchapwa mabao mawili kwa sufuri.

Mechi ya kwanza Simba akiwa nyumbani aliweza kupata mabao 3-0 kwenye mchezo ambao ulikuwa wa aina yake, hivyo kutokana na leo kuchapwa mabao 2-1 wanakuwa na jumla ya mabao 4-2 hivyo wanakwenda hatua ya makundi moja kwa moja.

Red Arrows Fc katika mchezo huu walicheza kandanda safi lililovutia lakini haikuwafanya kuwazuia Simba Sc kufuzu hatua ya makundi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

1/Post a Comment/Comments

  1. Tahariri ni muhimu sana, SIMBA haikufungwa mbili kwa sufuri(sifuri) bali ni 2-1.

    ReplyDelete

Post a Comment