BEI YA PETROL,DIZELI, MAFUTA YA TAA YAZIDI KUPANDA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, December 1, 2021

BEI YA PETROL,DIZELI, MAFUTA YA TAA YAZIDI KUPANDA


 Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura) imetangaza kupanda kwa bei ya rejareja ya mafuta kwa Sh71 kwa lita moja ya petroli mwezi huu.
Tangazo la Ewura lililotolewa linaonyesha kupanda kwa viwango tofauti kwa bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa ikilinganishwa na mwezi uliopita.


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages