MBOBEZI WA MASUALA YA USAFIRI WA MELI JULIUS NGUHULA AZINDUA KITABU KINACHOELEZEA HATUA MUHIMU ZA KUSAFIRISHA MIZIGO

 

Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula aliyetunga kitabu cha (Enhancing your Knowledge in Shipping) ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli. akiwa na Mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dk.Charles Kimei wa pili kutoka kushoto, Mh.David Kihenzile mbunge wa  Jimbo la Mufindi Kusini na mwenyekiti wa Bunge kushoto pamona ja Emmanuel Malya Mwenyekiti wa Kampuni ya Maritine Group wakipiga makofi mara baada ya kuzinduliwa kwa kitabu hicho leo kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es Salaam. 

............................................

WADAU wa sekta ya usafirishaji kwa njia ya meli wamekutana jijini Dar es Salaam kushuhudia uzinduzi wa kitabu cha Enhancing your Knowledge in Shipping ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli.

Kitabu hicho ambacho ni cha kwanza kabisa kuandikwa katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli nchini kimeandikwa na Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula ambaye ameandika kitabu hicho kwa ajili ya kuhakikisha watanzania na wadau wa sekta ya bahari wanakuwa na elimu ya kutosha katika eneo hilo

Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dk.Charles Kimei ambaye ametumia nafasi hiyo kuzungumzia umuhimu wa wadau wa sekta ya bahari hasa eneo la usafirishaji mizigo kwa meli kuhakikisha wanakuwa na kitabu hicho ambacho kimejaa kila aina ya maarifa na kwamba kimekuja wakati muafaka ambapo Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi wameamua kusimama kidete katika kuhamasisha uchumi wa buluu unaotokana na uwepo wa bahari,hivyo kitabu kimekuja kwa wakati muafaka.

Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula aliyetunga kitabu cha (Enhancing your Knowledge in Shipping) ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli. akiwa na Mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dk.Charles Kimei wa pili kutoka kushoto, Mh.David Kihenzile mbunge wa  Jimbo la Mufindi Kusini na mwenyekiti wa Bunge kushoto pamoja na Emmanuel Malya Mwenyekiti wa Kampuni ya Maritine Group wakionesha kitabu hicho  mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es Salaam. 

Mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dk.Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo wakati alipozindua  kitabu cha (Enhancing your Knowledge in Shipping) ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli.

Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula aliyetunga kitabu cha (Enhancing your Knowledge in Shipping) ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli akizungumza katika hafla hiyo.

Emmanuel Malya Mwenyekiti wa Kampuni ya Maritine Group akitoa hotuba yake katika uzinduzi huo.

Mh.David Kihenzile mbunge wa  Jimbo la Mufindi Kusini na mwenyekiti wa Bunge akizungumzia kitabu hicho namana kitakavyosaidia wabunge kujadilia masuala ya ueneshaji wa Bandari na Meli kwa weledi kuoitia kitabu hicho.

Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula aliyetunga kitabu cha (Enhancing your Knowledge in Shipping) ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli akizungumza katika hafla hiyo.

Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula aliyetunga kitabu cha (Enhancing your Knowledge in Shipping) ambacho kimeeleza hatua kwa hatua mchakato wa kuagiza na kusafirisha mizigo kwa usafiri wa meli. akiwa na Mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dk.Charles Kimei wa pili kutoka kushoto, Mh.David Kihenzile mbunge wa  Jimbo la Mufindi Kusini na mwenyekiti wa Bunge kushoto pamoja na Emmanuel Malya Mwenyekiti wa Kampuni ya Maritine Group na John Massawe Mwenyekiti wa Chama Tanzania Shipping Agents Asocciation T(ASAA) kulia wakionesha kitabu hicho  mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es Salaam. 

Mtanzania mbobezi katika tasnia ya usafirishaji mizigo kwa meli Julius Nguhula akipiga picha na baadhi ya wanafunzi wake mara baada ya uzinduzi wa kitabu hicho kuzinduliwa.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanakamati wa kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo wakiwa katika picha ya pamoja.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments