Breaking

Post Top Ad

Thursday, October 14, 2021

KIJANA AMUUA BABA YAKE KISA KALA NYAMA YOTE YA KUKU NA KUMBAKIZIA KICHWA TUPicha ya Godwin Matthew
Polisi nchini Nigeria wanamshikilia Godwin Matthew (26) kwa tuhuma za kumuuwa baba yake, Matthew Audu (64) baada ya kula nyama ya kuku yote kisha kumbakishia kichwa mwanae huyo.

Afisa Uhusiano wa Polisi katika jimbo la Ondo, DSP Funmi Odunlami amethibitisha tukio hilo la mauaji liliripotiwa katika kituo cha Polisi cha Ala na mke wa marehemu baada ya Godwin kutekeleza tukio hilo wakiwa shambani.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages