WAZIRI WA KILIMO PROFESA ADOLF MKENDA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU | MALUNDE 1 BLOG

Friday, October 8, 2021

WAZIRI WA KILIMO PROFESA ADOLF MKENDA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU

  Malunde       Friday, October 8, 2021


Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021, Kwa lengo la kutembelea na kuona hali ya uzalishaji wa mbolea kiwandani hapo hasa kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea katika msimu wa kilimo.

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi katika Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021, Katikati ni kurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans


Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimuonesha jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans wakizungumza mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans alipokuwa akimuonesha bei mbalimbali za mbolea katika kipeperushi wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda aina mbalimbali za mbolea wakati alipokuwa akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans alipokagua mgodi unaochimbwa madini ya kutengenezea mbolea.


Moja migodi inayochimbwa madini ya kutengenezea mbolea katika kiwanda cha mbolea cha Minjingu Minjingu Mines Firtlizer Limited


Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda maeneo mbalimbali yanayochimbwa madini ya kutengenezea mbolea wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Baadhi ya wataalam wa kiwanda hicho wakipima udongo kwa ajili ya kutengenezea mbolea.


Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda maeneo ya kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimpitisha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda maeneo mbalimbali wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021


Muonekano wa baadhi ya maeneo ya kiwanda hicho.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post