Breaking : RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA DR. PHILEMON SENGATI, AMTEUA SOPHIA MJEMA
Friday, October 08, 2021
Dkt. Philemon Sengati
Mhe. Sophia Edward Mjema
****
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati na kumteua Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Sophia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin