KAMPUNI YA KAMERA YA CANON YATOA LENSI MPYA

Lens mpya ya kamera ya Canon


Picha ya Kamera ya Canon ikiwa na lensi mpya
***
Kampuni ya kamera ya Canon imefanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia baada ya kutoa aina mpya ya lensi “RF 5.2mm F2.8 L Dual Fisheye” ambayo itakuwa na lensi mbili za Fisheye.

Lensi hii itatumika kukusanya maudhui ya Virtual Reality (VR) katika muundo wa 3D nachukua picha za stereoscopic 180º huku ikibadilishana kufanya kazi na lensi ya kwanza ya Kamera ikitumia Dual Fisheye inayounganisha lensi mbili na kutumia sensor moja ya kamera.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments