RAIS MWINYI AVUNJA BODI YA USHAURI YA KUDHIBITI VILEO ZANZIBAR - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, September 8, 2021

RAIS MWINYI AVUNJA BODI YA USHAURI YA KUDHIBITI VILEO ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya ushauri ya kudhibiti vileo Zanzibar.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said imesema hatua hiyo ni kuanzia  Jumanne Septemba 7, 2021.Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages