Pingamizi la Mbowe lagonga mwamba | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, September 1, 2021

Pingamizi la Mbowe lagonga mwamba

  Malunde       Wednesday, September 1, 2021

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi,imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu la kutaka kesi inayowakabili isisikilizwe na mahakama hiyo kwakuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi zenye mashtaka ya ugaidi.

Uamuzi huo umetolewa leo, Septemba Mosi, 2020 na Jaji Elinaza Luvanda ambaye baada ya kupitia hoja za pande zote mbili amesema Mahakama yake ina mamlaka ya kusikiliza mashauri ya ugaidi na kwamba pingamizi lililowasilishwa na upande wa utetezi halina mashiko na hakubaliani nalo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post