NEC YAPOKEA CHETI CHA PONGEZI KUTOKA FOUNDATION FOR DISABILITIES HOPE

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akipokea cheti cha shukrani kwa namna Tume ya Uchaguzi ilivyowashirikisha na kufanikisha utatuzi wa changamato kwa watu wenye ulemavu. Anaekabidhi cheti hicho leo Septemba 1,2021 ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali. (Picha na NEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akipokea cheti cha shukrani kwa namna Tume ya Uchaguzi ilivyowashirikisha na kufanikisha utatuzi wa changamato kwa watu wenye ulemavu. Anaekabidhi cheti hicho leo Septemba 1,2021 ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali. Wengine pichani ni Mshauri wa Taasisi hiyo, Mch.Kalebu Muhawi (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Utawala, Joyce Macha.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akimkabidhi nakala za ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali (kushoto) leo Septemba 1,2021 muda mfupi baada ya taasisi hiyo ya FDH kukabidhi cheti cha shukrani kwa namna Tume ya Uchaguzi ilivyowashirikisha na kufanikisha utatuzi wa changamato kwa watu wenye ulemavu.
Baadhi ya viongozi wa Tume wakifatilia mkutano huo
Mshauri wa Taasisi hiyo, Mch.Kalebu Muhawi akizungumza
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza katika kikao hicho na pamoja nae ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu, Gerald Mwanilwa
Mwenyekiti wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali (kulia) akizungumza.Anaemfuatia ni Mkuu wa Idara ya Utawala, Joyce Macha na Mshauri wa Taasisi hiyo, Mch.Kalebu Muhawi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments