MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA MHE.DKT.MWINYI AUDHURIA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Sunday, September 5, 2021

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA MHE.DKT.MWINYI AUDHURIA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR.


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages