MREMBO ATEMBEA MTAANI DAR NA BANGO LA 'NATAFUTA MUME'


Picha ya Baby Nai akiwa na bango lake la kutafuta mume mtaani

Mrembo Baby Nai kutoka Buza Temeke amesema anatufuta mume wa maisha wa kumuoa mwenye miaka 20 hadi 70 na kigezo chake anataka awe mstaarabu na mcha Mungu.

Baby Nai ameongeza kusema hii ni siku ya tano kutembea na bango la kutafuta mume mtaani pia haoni shida ya kutembea na bango hilo kwa sababu havunji sheria za nchi.

Amesema akikosa mume anayemtaka Dar es Salaam ataenda Arusha, Mwanza na Mbeya na akikosa hapo ataenda nchini Kenya na Uganda.

Tazama video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments