RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU DAR ES SALAAM - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Saturday, August 7, 2021

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza Mawaziri kusimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hayati Elias John Kwandikwa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam. IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages