EWURA YASITISHA UPANDAJI BEI ZA GESI ZA KUPIKIA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, August 4, 2021

EWURA YASITISHA UPANDAJI BEI ZA GESI ZA KUPIKIA


 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages