AJALI YA GARI LA JWTZ, LORI LA MIZIGO YAUA WATU 10 GEITA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, August 18, 2021

AJALI YA GARI LA JWTZ, LORI LA MIZIGO YAUA WATU 10 GEITA


Watu 10 wamefariki dunia na nane kujeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likitoka Kahama kugongana uso kwa uso na gari la mizigo leo Jumatano 18, 2021 katika kijiji cha Ilalwe kata ya Bukombe wilayani Bukombe mkoani Geita.
Via Mwananchi

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages