HAWA NDIYO WAKURUGENZI WAPYA WA HALMASHAURI SHINYANGA....MSUMBA ABAKI KAHAMA


Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama Anderson David Msumba
 ***
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendji wa Halmashauri za Jiji, Miji, Manispaa na Wilaya ambapo kwa upande wa Mkoa wa Shinyanga amemteua Nice Remen Munissy kuwa Mkurugenzi wa wilaya ya Shinyanga, Charles Edward Fussi wilaya ya Msalala akichukua nafasi ya Simon Berege aliyepelekwa wilaya ya Maswa, Lino Pius Mwageni wilaya ya Ushetu akichukua nafasi ya Michael Augustino Matomora aliyepelekwa wilaya ya Iramba, Jomary Mkristo Satura Manispaa ya Shinyanga huku akimbakiza  Emmanuel Johnson Matinyi katika wilaya ya Kishapu na Anderson Msumba katika Manispaa ya Kahama.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments