Saturday, August 7, 2021
WALLACE KARIA AIDHINISHWA KUWA RAIS WA TFF MIAKA MINGINE MINNE
Rais wa TFF, Wallace Karia
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo Jumamosi, wamemthibitisha Wallace John Karia kuendelea kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa kura zote 80 sawa na asilimia 100.
Wallace Karia alikuwa ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.
No comments:
Post a Comment