BENKI YA TCB YASHIKA NAFASI YA PILI TAASISI ZA FEDHA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Sunday, August 1, 2021

BENKI YA TCB YASHIKA NAFASI YA PILI TAASISI ZA FEDHA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA


Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akimkabidhi Meneja wa Benki ya Biashara ya Tanzania (Tanzania Commercial Bank- TCB PLC) Tawi la Shinyanga Julius Mataso (kulia) Cheti cha Ushindi ambapo Benki ya TCB (zamani ikiitwa Benki ya TPB) imeshika nafasi ya Pili katika kundi la Taasisi za Fedha katika Maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yalifungwa leo Jumapili Agosti 1,2021 katika uwanja wa Zainab Telack Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages