RAIS SAMIA AWASILI ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE HICHILEMA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema leo Agosti 24,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Zambia alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia vikundi vya Ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments