KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKATAA KUWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MAZIMBU MOROGORO | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, August 10, 2021

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKATAA KUWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MAZIMBU MOROGORO

  Malunde       Tuesday, August 10, 2021

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Luteni Josephine Mwambashi akizungumza leo Mkoani Morogoro.

Na Jackline Lolah Minja - Morogoro
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka jiwe la msingi katika mradi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Mazimbu iliyopo katika Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro baada ya kuwa na mkanganyiko wa nyaraka zinazohusu shule hiyo.

Akizungumza mara baada ya kukagua mradi wa majengo ya shule ya sekondari Mazimbu leo Jumatano Agosti 10,2021 Luteni Josephine Mwambashi  amesema hakuna mchanganuo halisi wa fedha zilizotumika kujenga majengo ya madarasa hayo yenye thamani ya shilingi milioni 65.

Aidha kiongozi huyo wa mbio za Mwenge  wa Uhuru amemuagiza mkuu wa wilaya ya Morogoro ,Albert Msando kuhakikisha anafuatilia nyaraka zote za mradi huo.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post