BENKI YA CRDB YAWAPIGA MSASA WAJASIRIAMALI WA KIZIMKAZI ZANZIBAR


Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB Zanzibar, Hamida Juma akitoa elimu ya bima ya maisha ya vikundi katika semina ya wajasiriamali Kizimkazi.
Meneja Mwandamizi wa Uhusiano kwa Wajasiriamali wadogo kutoka Benki ya CRDB, Seuri Meijo akitoa mada ya ubunifu katika ujasiriamali katika Tamasha la Kizimkazi linafanyika visiwani Zanzibar. Tamasha hilo pia linahusisha maonyesho ya sanaa, utamaduni na michezo mbalimbali ambapo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan atakua mgeni rasmi katika kilele cha tamasha hilo Agosti 28.
Mjasiriamali akifuatilia kwa karibu mafunzo yanayotolewa katika semina
Sehemu ya wajasiriamali waliohudhuria semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na Benki ya CRDB katika Tamasha la Kizimkazi 2021.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post