WANAUME WENGI WALINIACHA BILA KUJUA SHIDA,HIVI NDIYO NIMEWEZA KUJIKWAMUA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, July 21, 2021

WANAUME WENGI WALINIACHA BILA KUJUA SHIDA,HIVI NDIYO NIMEWEZA KUJIKWAMUA

Kwa majina naitwa Anjelina Kitalika Mkazi wa Kimara Baruti Katika Mkoa wa Da es Salaam, nafanya kazi katika kampuni iitwayo ywca, kazi ambayo imenipa matokeo mazuri kwani nakaa kwenye nyumba ambayo nimejenga mwenyewe kupitia kazi hiyo na nina usafiri wangu mwenyewe.

Yote hayo niliyonayo kwa kweli nimepitia wakati mgumu sana katika suala zima la mapenzi nimekuwa nikiachwa na wanaume mbalimbali nikiwa sifahamu kisa cha kuachwa na wanaume hao, wamekuwa wakiondoka bila kunitaarifu sababu ya kuniacha.

Tatizo la kuachwa kila mara lilinifanya nikae single kwa muda wa miaka mitatu yaani nisijihusishe kabisa katika suala la mapenzi, lakini siku zilizidi kwenda na kichwani kwangu nilikuwa natambua kuwa ulikuwa ni muda wa kuanzisha uhusiano ili na mimi niwe na familia ila nikifikiria maisha ya nyuma nilikuwa na kosa hamu.

Siku moja nikiwa kazini kwangu alikuja kijana mmoja anaitwa Revokatusi, kijana ambaye niliweza vutiwa nae pia na yeye alivutiwa na mimi kutokana na jinsi tulivyokuwa tunatazamana usoni ila mimi nilijitahidi kuficha hisia zangu kwake kisha nikamuhudumia akaondoka zake.

Baada ya mwezi mmoja akarudi tena ofisini kwetu kisha akafika kwenye dirisha langu kwa mara ya pili tena kama utaratibu wetu wa kazi nikamhudumia kisha akaniomba namba yangu ya simu nikampatia.


Baada ya kutoka kazini alinipigia simu na kujitambulisha kwa mara nyingine tena kuwa anaitwa Revokatusi tuliweza ongea kwa muda wa masaa 2 kisha akaniomba siku ya Jumapili tukutane Mbezi Beach tupate chakula cha mchana wote,Sikuweza mpa jibu kwa muda huo zaidi nilimwambia kuwa ntamjulisha Siku ya Ijumaa kama inawezekana au hapana kisha nikakata simu yake.

Baada ya maongezi nilijua kuwa Revokatusi anataka tukutane ili aweze nitongoza hali ya kuwa mimi nilikuwa nimeshachoka kabisa na kitu kinachoitwa mapenzi kwa sababu nilikuwa nimeshakutana na wanaume wengi katika mahusiano ila wananiacha na kuoa wanawake wengine.

Aliyeniumiza sana ni kijana ambaye anaitwa Nelson ambaye tulipendana kwa miaka 2 hadi ikafika hatua akanitambulisha kwa wazazi wake na kujitambulisha kwa wazazi wangu na baada ya muda akaoa mwanamke mwingine na kuniacha mimi nikichekwa mtaani kwetu.

Japo kijana Revokatusi alikuwa amenivutia sana ndipo niliamua kuwa nikutane nae tuongee ila akinitongoza sitakubali kwa sababu nafanya kazi nzuri ambayo inanipatia pesa ya kujikimu kimaisha pia nilikuwa sitaki tena mawazo ya kunisumbua haswa ntakapomkubalia kisha akanifanya kama wanaume wengine walivyonifanyia unyama.

Siku ya Jumapili ilitimia hatimaye nikakutana na Revokatusi tulivyomaliza kula na kuanza kuzungumza Revokatusi aliniambia kuwa ananiomba niwe mchumba wake, Bila kumaliza maneno yake nilimkatalia kisha nikatoka zangu pale na kurudi nyumbani.

Nilipofika nyumbani Revokatusi alinipigia simu na kuniomba msamaha kama amenikwaza sehemu yoyote ila akazidi kuniambia kuwa anahitaji kunioa nimpe nafasi hiyo.

Kwangu ikawa ngumu nilivyokuwa nakumbuka wanaume wengine walivyonifanyia ila nikitazama upande wa pili niko na miaka 38 sina mtoto sina mme nikaamua nitoe uamuzi wa kumkubalia Revokatusi ombi lake.

Miezi mitatu tukiwa katika mahusiano Revokatusi nae alibadilika hata simu yangu alikuwa hapokei tena baada ya kunitambulisha kwao na akajitambulisha kwetu, Sikuweza jua shida nini ila mimi niliamua nijitoe uhai kwa sababu jambo hilo limenitokea mara nyingine tena.

Kazini nilikuwa siendi tena habari zikasambaa kila mahali, ndipo rafiki yangu Imerda akaniambia kuwa kuna Dr. Kiwanga ana uwezo wa kunisaidia kutatua shida yangu na kumfanya Revokatusi abadiLishe mawazo.

Niliwasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254 769404965 na kumueleza mwenendo wa maisha yangu tangu mwanzo ndipo Dr. Kiwanga akasema nimpigie simu baada ya dakika 35.

Muda ulipotimia nilipiga simu ndipo Dr. Kiwanga akanambia kuwa mwenye shida ni mimi siyo wanaume ninao pendana nao. Aliweza nisaidia kisha akaniambia kuwa kwa masaa 72 tu ntapata majibu kwa Upande wa Revokatusi.

Kesho yake asubuhi Revokatusi alikuja kwangu na kuniomba msamaha na kuniambia hata yeye hajui kwa nini alikuwa hataki kupokea simu yangu na kwa sasa tumeoana na maisha yetu yanateleza tu.

Kiwangadoctors wanatatua shida tofauti kama kupandishwa cheo kazini, kupata kazi ,kupata mpenzi wa ndoto zako. Pia kiwangadoctors wanatibu magonjwa sugu kama Sukari, Pressure na Kisonono. Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba ya simu +254 769404965, Barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages