MREMBO ANAMTAFUTA MWANAUME ALIYEFUNGA NAYE NDOA UTOTONI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, July 1, 2021

MREMBO ANAMTAFUTA MWANAUME ALIYEFUNGA NAYE NDOA UTOTONI

  Malunde       Thursday, July 1, 2021

Picha aliyoiweka Leina kupitia ukurasa wake wa Twitter, ikionesha yeye na Albert wakifunga ndoa

Mwanadada anayejiita Leina, ametuma ujumbe kupitia akaunti yake ya twitter akimtafuta mwanaume ambaye alifunga naye ndoa miaka ya nyuma wakiwa watoto.

Kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter, mwanadada huyo Leina, ameweka picha ikimuonyesha yeye wakati wa utoto akiwa amefunga ndoa na mtoto mwenzake.

Leina aliweka picha hiyo juzi Juni 27, 2021, na kuandika kuwa kijana huyo anaitwa Albert na sasa hajui yuko wapi na ndoa hiyo walifunga wakiwa darasa la pili.

"It’s the bride for me, Ps: This boy’s name is Albert, i don't know where you are, but we got married in primary 2 at assembly," aliandika mwanadada huyo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post