SHAMBA LINAUZWA



Shamba lenye jumla ya Heka 165 ambalo tayari limeishapimwa linauzwa.

Mahali: Shungumbweni, Mkuranga karibu na Kiwanda cha Chumvi Neel Salt.

Bei: Shamba hilo linauzwa kwa kila Heka moja ni shilingi 1,500,000/= (Milioni moja na Laki tano)..

Umbali: Kilomita 5 kutoka baharini, Kilomita 26 kutoka barabara kuu ya Dar-Lindi, (Unaweza Ingilia kwa njia ya Kibada-Mwasonga pia).

Shamba lina miti ya mikorosho iliyopandwa kwa heka 20,Mianzi,kisima cha maji safi mita 72, kinatoa lita 20,000 kwa saa.

Kwa aliye SERIOUS kununua anakaribishwa sana.

KWA MAWASILIANO ZAIDI 0763000053

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments