Picha : MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MC DICKSON MITUNDWA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, May 13, 2021

Picha : MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MC DICKSON MITUNDWA

  Malunde       Thursday, May 13, 2021
Mamia ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani wamejitokeza kwenye mazishi ya Mshereheshaji Maarufu MC Dickson Mitundwa (27) katika  Makaburi ya Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga leo Alhamis Mei 13,2021.

MC Dickson Mitundwa alifariki dunia Mei 10,2021 jijini Dar es salaam baada ya kuugua ghafla akiwa Hotelini akijiandaa na safari ya kurejea nyumbani kwao mkoani Shinyanga ambapo alikimbizwa kituo cha afya Palestina Sinza kwa ajili ya matibabu na kuthibitika kuwa amefariki dunia.

Soma pia :👉 Tanzia : MC DICKSON MITUNDWA AFARIKI DUNIA

MC Dickson Mitundwa ameacha mke mmoja. 

PICHA ZOTE NA WILCAN

Mc Dickson Mitundwa enzi za uhai wake
Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Dickson Mitundwa leo Alhamis Mei 13,2021 . Picha zote na Wilcan


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post