Breaking News: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA, WATENDAJI WA TAASISI USIKU HUU... TAZAMA MAJINA YOTE HAPA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, May 30, 2021

Breaking News: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA, WATENDAJI WA TAASISI USIKU HUU... TAZAMA MAJINA YOTE HAPA

  Malunde       Sunday, May 30, 2021
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya makatibu tawala wa mikoa, kuwahamisha baadhi na wengine kuwabakiza kwenye vituo vyao vya kazi. Lakini pia amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa taasisi. Uteuzi huo umeanza Mei 29,2021 na wataapishwa Juni 2,2021 saa 4 asubuhi Ikulu Chamwino Dodoma

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post