Picha : DC MACHA ATEMBELEA MABANDA YA WAJASIRIAMALI WANAOSHIRIKI MAONESHO KAHAMA


Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (katikati) akigonga cheers na mmoja wa wananchi akionja mvinyo uliotengenezwa na wajasiriamali

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha ametembelea mabanda ya Wajasiriamali kutoka ndani na nje ya Kahama wanaoshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.

Akitembelea Mabanda hayo Mei 27,2021 jioni, Mkuu huyo wa wilaya ya Kahama amewapongeza wajasiriamali waliojitokeza kushiriki maonesho hayo akisema yanatoa fursa za kutangaza na kuuza bidhaa pamoja na kujifunza mambo mbalimbali ya kuboresha biashara zao.


Macha amewaomba wananchi wa Kahama kutembelea mabanda hayo ili kujifunza mambo mbalimbali na kununua bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zinazotengenezwa na wajasiriamali wa hapa nchini na kuangalia fursa za kujiajiri badala ya kuranda randa mtaani bila kufanya kazi.

TAZAMA PICHA DC MACHA AKITEMBELEA MABANDA

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kushoto) akiangalia nguo kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa mjasirimali kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akisaini kitabu  kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia asali kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia viatu vya ngozi kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akizungumza na mama lishe anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia mawigi kwenye banda la Salome Wig Point Tz kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kulia) akiangalia sabuni iliyotengenezwa kwa mchele, asali na kahawa  kutoka kwa mjasirimali Sarah Natural Products wa  Dar es sa salaam kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia shanga kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiwa kwenye banda la Mjasiriamali wa Urembo na Vipodozi kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiwa amekaa kwenye masofa ya vijana wanaojihusisha na ufundi useremala kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia kikapu cha asili kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia nguo kwenye banda la mjasiriamali Mamuu Chicken anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia keki kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia bidhaa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia wine kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiwa kwenye banda la mjasiriamali anayetengeneza Wine anayeshiriki kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (katikati) akiangalia wine kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia mafuta ya alizeti kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia mapapai makubwa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia maua kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia Blander za kutumia mikono kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia bidhaa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia bidhaa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia bidhaa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiangalia ndizi zilizokaangwa kitaalamu kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akisaini akiwa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akiwa kwenye banda la mjasiriamali anayeshiriki Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani Shinyanga.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments