RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge aliyeambatana na viongozi wenzake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea Jijini Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe pamoja na viongozi wengine wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam mara baada kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea Jijini Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam wakati akiondoka uwanjani hapo mara baada ya kuwasili leo tarehe 03 Aprili 2021.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili leo tarehe 03 Aprili 2021 wakati akitokea jijini Dodoma. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments