KWA UZURI WANGU WOTE HAMNA MWANAUME ALIYEKUWA TAYARI KUNIOA ZAIDI YA KUNITUMIA NA KUNIACHA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, April 26, 2021

KWA UZURI WANGU WOTE HAMNA MWANAUME ALIYEKUWA TAYARI KUNIOA ZAIDI YA KUNITUMIA NA KUNIACHA

  Malunde       Monday, April 26, 2021
 
Jina langu naitwa Aisha umri wa miaka 30.Nakiri kuwa mimi ni mzuri japo sijasema kuwa nazidi wanawake wote ila mimi najikubali kuwa ni mzuri,maana nina rangi ya chokoleti,mimi si mrefu sana au mfupi sana ni saizi ya kati,mimi si mwembamba au mnene sana, nyuma nashukuru Mungu kanijalia. 

Vyote hivyo sikuweza kupata mwanaume wa kunioa japo nilikuwa natongozwa kila siku lakini nikiingia kwa mahusiano tunaishia kuachana bila hata sababu yoyote.

 Mwanzo kabisa sikuweza kuweka maanani sana hilo jambo la kupendana na mtu na kuachana bila sababu haswa tukianza mipango ya kutaka kuishi wote, ila umri ulivyozidi kwenda nikaanza kuwa na hofu kwa nini mimi sipati mwanaume wa kunioa.

Mbona kila siku marafiki zangu wanaolewa mimi kazi yangu kwenda kwa harusi zao,yangu lini?.

Hivyo nikahisi huenda wanaume ninaopendana nao mimi sifanyi kile wanachotaka labda ndiyo maana wananiacha. Nilijitahidi kuwa muwazi na kufanya kila jambo mpenzi wangu analolitaka ila hali ikawa hivyo hivyo. 

Ukweli ilifika hatua nikiwa kwenye mahusiano mwanaume yoyote akinitongoza namwambia ninampenda ili asije niacha, nampa simu mpendwa wangu anakaa nayo ila jitihada zangu zote hazikuzaa matunda zaidi ya kuachwa tu.

Siku moja nilikutana na kijana anaitwa Jamary, Jamary alinitongoza kwa miezi sita nikiwa nakataa maana nilikuwa nimeishakata tamaa juu ya mapenzi.

Jamary alizidi kuwasiliana na mimi na kunisaidia vitu mbalimbali na mwisho atimaye nilishawishika sana nikamkubalia na kuhisi huenda ndiyo mwanaume niliyepangiwa kwa sababu kanisubili miezi sita yote bila kutafuta mwanamke mwingine. 

Jamary alinitambulisha kwa wazazi wake na mimi nikamtambulisha kwa wazazi wangu na kusubiri siku maalumu kwa ajili ya kufunga ndoa.

 Kabla ya miezi 2 tufunge ndoa mambo yalibadilika sana,Jamary alikata mawasiliano yangu na yeye ghafla. Nilitafuta marafiki zake ili nijue shida ni nini ila sikuweza pata jibu.

Hali hiyo ilinibidi nitafute usaidizi maana sikuwa tayari kumpoteza Jamary katika maisha yangu ndipo rafiki yangu mmoja akaniambia kuwa Dr. Kiwanga anaweza nisaidia maana huyo Dr alimtibu mama yake ugonjwa wa Kisukari.

Alizidi kuniambia kuwa huyo Dr. Kiwanga alimsaidia mme wake kupata kazi baada ya kuhangaika kwa miaka 3 bila kazi.

Ilibidi niombe namba ya simu ambayo ni hii +254 769404965. Niliwasiliana na Dr. Kiwanga kuwa nahitaji usaidizi wa haraka na kumwambia hilo jambo la kuachwa na wanaume bila sababu limenitokea mara nyingi hivyo siko tayari kumpoteza Jamary.

Dr. Kiwanga aliniuliza maswali nikamjibu ndipo akasema kuwa mwenye shida ni mimi na si wanaume ninaopendana nao.

Baada ya kuniambia hivyo nilimuomba nahitaji anitatulie hiyo shida na kumuomba kuwa nahitaji kufika ofisini kwake ili nimueleze zaidi

Nilipewa siku maalumu kwa ajili ya kumuona Dr, hivyo nilianza safari ya kutoka kwetu Kondoa kuelekea Nakuru- Kenya kwa ofisi ya Kiwangadoctors.

Nilifika salama na shida yangu kutatuliwa kwa muda wa masaa 24.

Nikiwa bado kwa ofisi ya Kiwangadoctors niliambiwa kuwa wanatatua shida mbalimbali kama kufunga mme /mke asiende nje ya ndoa,kurudisha upendo na amani katika familia, kupata mpenzi,kupata cheo kazini na kusafisha nyota.

Kiwangadoctors walizidi kunieleza kuwa wanatibu pia Kisukari,nguvu za kiume na Pressure kwa kutumia madawa ya kienyeji. 

Kesho yake nilianza safari ya kurejea kwetu Kondoa, nilipofika mkoa wa Arusha mchumba wangu Jamary alinipigia simu kuwa siku mbili zilizopita ameniota tukiwa wote na zaidi katika ndoto ameota kuwa mimi ndiyo chaguo lake la maisha yake yote hivyo kitendo cha kutopokea simu zangu siku za nyuma anaomba nimsameheemaana kuna mambo alikuwa hajaweka tayari ila kwa sasa hata kesho anatamani tufunge ndoa. 

Bila shaka nilimjibu kuwa mimi ni wake ndipo kesho yake akaniambia kuwa baba yake mdogo atakuja kwetu kwa ajili ya kumaliza vitu walivyoomba kwetu ili tufunge ndoa haraka iwezekanavyo maana moyo wake unakosa uwepo wangu.

Na kwa sasa Mungu ametujalia tuna watoto watatu maisha yangu na Mme wangu Jamary ni mazuri,tunaeshimiana na kupendana mno.

 Natoa wito kwa mwenye shida mbalimbali unaweza mpata Dr. Kiwanga Kericho-Kenya au tembelea www.kiwangadoctors.com, na zaidi piga simu namba +254 769404965 utampata Dr. Kiwanga na utasaidika.Nawashukuru sana Kiwanga doctors


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post