WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIA WILAYANI BAHI

 

Watumishi wa Wizara Maliasili na Utalii washiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo kimkoa katika Wilaya ya Bahi,jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi Wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakimsikiliza mgeni rasmi wakati Wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa wilayani Bahi, jijini Dodoma Watumishi Wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenye maandamano wakati Wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kilichofanyika kimkoa wilaya ya Bahi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post