RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Friday, March 19, 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri leo tarehe 19 Machi 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa kuwa Rais. PICHA NA IKULU

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages