TGNP YAKUTANA NA WASAIDIZI WA KISHERIA NA VITUO VYA TAARIFA NA MAARIFA HALMASHAURI YA MSALALA

Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija akizungumza kwenye kikao cha Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na UNFPA umekutana na Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga kwa ajili ya kufanya mapitio, tathmini na kupanga mipango namna ya kushirikiana kukabiliana na masuala ya ukatili wa kijinsia hasa yanayowakumba wanawake na watoto.

Kikao hicho kilichofanyika leo Alhamisi Machi 18,2021 katika ukumbi wa Nitesh Manispaa ya Kahama kimekutanisha washiriki 117 kati yao Wasaidizi wa kisheria 37 kutoka Halmashauri ya wilaya ya Msalala na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa 80 kutoka kata ya Lunguya na Shilela zilizopo kwenye halmashauri hiyo.

Akizungumza wakati wa kikao hicho, Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija amesema lengo la kikao hicho ni kufanya tathmini,mapitio na mipango kazi na uendelevu wa mahusiano ya kazi kati ya Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa katika kupambana na masuala ya ukatili wa kijinsia.

“Kupitia kikao hiki tunajadili pia changamoto zinazojitokeza na kufanya kazi kwa pamoja kwani kazi kubwa ya Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa ni kushughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia hasa yanayowakumba zaidi wanawake na watoto ili kuongeza ustawi wa wanawake na watoto katika jamii”,amesema Shija.

Shija amesema Wasaidizi wa Kisheria wana wajibu wa kutoa ushauri wa kisheria kwa wana vituo vya taarifa na maarifa kuhusu matukio ya ukatili wa kijinsia lakini pia wana vituo vya taarifa na maarifa kuomba ushauri pindi wanapokutana na changamoto katika kushughulikia matukio ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija akizungumza kwenye kikao cha Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga kilichoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na UNFPA. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija akizungumza kwenye kikao cha Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga 
Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija akiwasisitiza Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga kushirikiana kikamilifu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.
Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija akizungumza kwenye kikao cha Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala
Mratibu wa Huduma za Msaada wa Kisheria Kupitia Wasaidizi wa Kisheria (Paralegals) mkoa wa Shinyanga, John Shija akizungumza kwenye kikao cha Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga kilichoandaliwa na TGNP na UNFPA.
Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakiwa kwenye kikao 

Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakiwa kwenye kikao.

Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakiwa kwenye kikao kilichoandaliwa na TGNP na UNFPA.
Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakiwa kwenye kikao kilichoandaliwa na TGNP na UNFPA.
Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakifanya majadiliano ukumbini.
Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakifanya majadiliano ukumbini
Wasaidizi wa Kisheria na Wana Vituo vya Taarifa na Maarifa kata ya Lunguya na Shilela katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wakifanya majadiliano ukumbini.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments