Picha : RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMFARIJI MJANE WA JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipomtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam leo March 19,2021. Aliyesimama kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali Kakurwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipomtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam leo March 19,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia Saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Kareem Jee Jijini Dar es salaam leo Machi 19,2021

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post