Picha : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIAGA MWILI WA HAYATI DK. MAGUFULI
Saturday, March 20, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitokwa na machozi wakati wakati akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, Machi 20, 2021. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa.
Social Plugin