Picha : WAKAZI WA KIGOGO, MSIMBAZI CENTER NA KARUME,MATAA YA CHANG'OMBE WAKIWA BARABARANI MWILI WA JPM UKIPITISHWA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Saturday, March 20, 2021

Picha : WAKAZI WA KIGOGO, MSIMBAZI CENTER NA KARUME,MATAA YA CHANG'OMBE WAKIWA BARABARANI MWILI WA JPM UKIPITISHWA
Wakazi wa Kigogo, Msimbazi Center na Karume, Mataa ya Chang’ombe wakiwa wamesimama kando ya barabara kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULUUPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja TuDownload/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages