Picha : MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK. MAGUFULI UKITOLEWA IKULU KWENDA KANISANI,KISHA UWANJA WA UHURU


Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli wakati wakitoka Ikulu jijini Dar es Salaam na kuelekea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.
Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli wakati wakitoka Ikulu jijini Dar es Salaam na kuelekea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.
Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwasili katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay mara baada ya kuwasili.
Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay wakilia wakati Jeneza lenye mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukitolewa Kanisani hapo.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja TuDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post