Picha : WANANCHI WA KINONDONI MKWAJUNI, BIAFRA ,MAGOMENI MOROCCO DAR WAKIWA KANDO YA BARABARA WAKIAGA MWILI WA MAGUFULI


Wananchi wa Kinondoni Mkwajuni na Magomeni Morocco wakiwa wamesimama barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa kuelekea Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.
Wajasiriamali wa Mau wa Namanga mkoani Dar es Salaam wakirusha maua kama ishara ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam.

 Wananchi wa Kinondoni Mkwajuni na Magomeni Morocco wakiwa wamesimama barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa kuelekea Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.

Wakazi wa Biafra Kinondoni wakimuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa 
Wakazi wa Magomeni wakimuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa 
Wakazi wa Kinondoni, Magomeni , Kigogo, Msimbazi Center na Karumewakiwa wamesimama kando ya barabara kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa mkoani Dar es Salaam. 
Wakazi wa Kinondoni, Magomeni , Kigogo, Msimbazi Center na Karume wakiwa wamesimama kando ya barabara kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments