Tazama Picha : MUONEKANO MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA MOROCCO - MWENGE KM 4.5 NJIA 4 - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, March 10, 2021

Tazama Picha : MUONEKANO MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA MOROCCO - MWENGE KM 4.5 NJIA 4


Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco - Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35, mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages