MSANII WAZIRI SONYO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTOKA KUANGALIA MECHI YA SIMBA SC Vs AL AHLY


Msanii wa muziki wa dansi Waziri Sonyo enzi za uhai wake.
**
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi hapa nchini Tanzania Waziri Sonyo amefariki dunia siku ya jana Februari 24,2021 baada ya kutoka kuangalia mechi ya ligi ya mabingwa Africa kati ya Simba na Al Ahly.

"Ni kweli amefariki jana, ametoka kuangalia mpira wa Simba alivyofika nyumbani kwake presha ikampanda na wakajaribu kumpepea lakini imeshindikana, msiba upo nyumbani kwake Kibaha Mailimoja, kuhusu mazishi nimeongea na ndugu zake wameniambia watanijulisha", Mchambuzi wa muziki Rajab Zomboko ameeleza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post