Picha : RAIS MAGUFULI AFUNGUA RASMI DARAJA LA JUU KWENYE MAKUTANO YA BARABARA ZA UBUNGO DAR


Daraja la Barabara za Juu Kijazi Interchange kama linavyoonekana pichani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulifungua leo tarehe 24 Februari 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Ubungo (Kijazi Interchange) Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kamba kuzindua jina la Daraja la Juu la Ubungo Interchange ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kuliita Daraja hilo ili kutambua Utumishi uliotukuka wa Marehemu Balozi Mhandisi John William Kijazi katika sherehe zilizofanyika Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzindua jina la Daraja la Kijazi Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea sehemu ya chini ya la Daraja la Kijazi Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakati akivuta utepe kufungua Rasmi Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma maandishi katika vibao vya Ufunguzi wa Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo mara baada ya kufungua Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea eneo la mkutano mara baada ya kufungua Daraja la Juu Kijazi Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021. PICHA NA IKULU







Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments